Miongozo ya kilimo

Mwongozo kamili wa zao lako, hatua kwa hatua.

Kila mwongozo unakupitisha kuanzia kuandaa shamba hadi kuvuna, na unaonyesha gharama za kila hatua pamoja na makadirio ya mavuno na faida.

TSh 12,000kwa kila mwongozo. Unalipia kwa simu na kuupokea kama faili la kidijitali.
Mwongozo wa kilimoMpungaMogriculture TZ

Mwongozo wa kilimo cha Mpunga

Mwongozo wa vitendo wa kulima mpunga, ukiwa na mchanganuo wa gharama za kila hatua na makadirio ya mavuno na faida.

TSh 12,000Nunua
Mwongozo wa kilimoMahindiMogriculture TZ

Mwongozo wa kilimo cha Mahindi

Mwongozo wa vitendo wa kulima mahindi, ukiwa na mchanganuo wa gharama za kila hatua na makadirio ya mavuno na faida.

TSh 12,000Nunua
Mwongozo wa kilimoAlizetiMogriculture TZ

Mwongozo wa kilimo cha Alizeti

Mwongozo wa vitendo wa kulima alizeti, ukiwa na mchanganuo wa gharama za kila hatua na makadirio ya mavuno na faida.

TSh 12,000Nunua
Mwongozo wa kilimoNyanyaMogriculture TZ

Mwongozo wa kilimo cha Nyanya

Mwongozo wa vitendo wa kulima nyanya, ukiwa na mchanganuo wa gharama za kila hatua na makadirio ya mavuno na faida.

TSh 12,000Nunua
Mwongozo wa kilimoPilipili hohoMogriculture TZ

Mwongozo wa kilimo cha Pilipili hoho

Mwongozo wa vitendo wa kulima pilipili hoho, ukiwa na mchanganuo wa gharama za kila hatua na makadirio ya mavuno na faida.

TSh 12,000Nunua
Mwongozo wa kilimoPilipili mwendokasiMogriculture TZ

Mwongozo wa Uzalishaji wa Pilipili Mwendokasi

Mwongozo wa vitendo wa kulima pilipili mwendokasi, ukiwa na mchanganuo wa gharama za kila hatua na makadirio ya mavuno na faida.

TSh 12,000Nunua
Mwongozo wa kilimoVitunguu majiMogriculture TZ

Mwongozo wa Kilimo cha Vitunguu maji

Mwongozo wa vitendo wa kulima vitunguu maji, ukiwa na mchanganuo wa gharama za kila hatua na makadirio ya mavuno na faida.

TSh 12,000Nunua
Mwongozo wa kilimoVitunguu saumuMogriculture TZ

Mwongozo wa kilimo cha Vitunguu saumu

Mwongozo wa vitendo wa kulima vitunguu saumu, ukiwa na mchanganuo wa gharama za kila hatua na makadirio ya mavuno na faida.

TSh 12,000Nunua
Mwongozo wa kilimoMatikiti majiMogriculture TZ

Mwongozo wa kilimo cha matikiti maji

Mwongozo wa vitendo wa kulima matikiti maji, ukiwa na mchanganuo wa gharama za kila hatua na makadirio ya mavuno na faida.

TSh 12,000Nunua
Mwongozo wa kilimoMaharageMogriculture TZ

Mwongozo wa kilimo cha Maharage

Mwongozo wa vitendo wa kulima maharage, ukiwa na mchanganuo wa gharama za kila hatua na makadirio ya mavuno na faida.

TSh 12,000Nunua

Utapata nini ndani ya kila mwongozo?

Hatua kwa hatua

Mpangilio wa vitendo wa kulima zao kuanzia mwanzo hadi mwisho.

Mchanganuo wa gharama

Gharama za uzalishaji katika kila hatua, ili ujue unahitaji kiasi gani.

Mavuno na faida

Makadirio ya mavuno na faida unayoweza kutarajia.

Jinsi ya kununua

  1. Hatua 1Chagua mwongozo

    Bonyeza "Nunua" kwenye mwongozo wa zao lako. Utafunguliwa ukurasa wa malipo salama wa Snippe.

  2. Hatua 2Lipa kwa simu

    M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money au Halopesa. Utaweka namba yako ya simu na ya WhatsApp.

  3. Hatua 3Pokea mwongozo

    Mwongozo unakufikia baada ya malipo kukamilika.

Unahitaji zaidi ya kitabu?

Mwongozo unakupa mwelekeo.
Mimi ninakupa jibu la shamba lako.

Angalia huduma na bei ↗