← Makala zote
Bure

[PDF] Mwongozo wa Kilimo cha Matango

AKNa Abdul Karim, Mtaalam wa Kilimo · February 24, 2023 · Dakika 1 za kusoma
Sale!

Original price was: Sh 10,000.Current price is: Sh 8,000.

Je, unataka kulima Matango? au unataka kupata mchanganuo wa gharama za uzalishaji wake? Basi uko sehemu sahihi. Ikiwa unataka (na unajiandaa) kulima Matango au unataka kuandaa mpango wa mradi wa kilimo, mwongonzo huu utakufaa sana.

SKU: MW001 Category:

Description

Je, unataka kulima Matango? Au unataka kupata mchanganuo wa gharama za uzalishaji wake? Basi uko sehemu sahihi.

Kwenye Mwongozo wa Matango utajifunza yafuatayo…

  1. Hatua za ulimaji na utunzaji wa Matango tangu kuuandaa shamba mpaka kuvuna,
  2. Mapendekezo maalumu (kutoka kwetu) ya aina, na kiasi cha mbegu, mbolea, madawa na nyakati za kutumia,
  3. Makadirio ya gharama za uzalishaji kwa kila hatua za ulimaji na utunzaji wa Matango, na
  4. Makadirio ya mavuno na faida utakayopata baada ya kuuza.

Ikiwa unataka (na unajiandaa) kulima Matango au unataka kuandaa mpango wa mradi wa kilimo, mwongonzo huu utakufaa.

Una tatizo kama hili shambani kwako?

Nikusaidie kutambua tatizo na kupunguza gharama. Ushauri kwa simu ni TSh 20,000 kwa kipindi, na ziara shambani ni TSh 100,000 + nauli.

Omba ushauri wa kulipia ↗
AK

Abdul Karim, Mtaalam wa Kilimo. Nina shahada ya Kilimo kutoka SUA na miaka 10 ya kilimo kwa vitendo. Makala hii ni bure, na ushauri wa kibinafsi ni huduma ya kulipia kupitia Mogriculture TZ.

Makala zinazohusiana