Wadudu na Magonjwa ya Mihogo
Kilimo cha zao la muhogo kinazongwa na changamoto ya wadudu na magonjwa ambazo huchangia kwa kiasi kikubwa kupunguza kiasi cha mavuno, na…
Makala za bure
Makala zinazoelezea kwa lugha rahisi jinsi ya kukabiliana na matatizo ya kawaida shambani. Soma kadri unavyotaka.
Kilimo cha zao la muhogo kinazongwa na changamoto ya wadudu na magonjwa ambazo huchangia kwa kiasi kikubwa kupunguza kiasi cha mavuno, na…
Karoti ni zao la jamii ya mzizi. Karoti ni aina ya mboga mboga yenye vyanzo vingi vya calcium, iron na wingi wa…
Viwavi jeshi hushambulia aina za mimea/mazao zaidi ya 80. Hupendelea zaidi mimea jamii ya nafaka kama mahindi, mtama, mpunga, ngano na miwa…
Kabla ya kupanda, mbegu ya mpunga inatakiwa kuandaliwa vizuri ili kuirahisishia kuota kwa kiwango kizuri ili mkulima apate miche bora ya kupandikiza…
Viuatilifu ni sumu inayotumika kuua, kuangamiza, kufukuza, au kuzuia visumbufu katika mimea.Visumbufu vya mimea vyaweza kuwa wadudu, fangasi, magugu, ...
Tatizo la nyanya kuoza kitako ni hali ya kifiziolojia inayosababishwa na uchache wa au mmea kushindwa kufyonza madini ya chokaa (Calcium) kwenye…

Ili kudhibiti panya waharibifu wa mazao inashauriwa kutumia mbinu za aina tofauti kwa wakati mmoja ili kuongeza ufanisi wa kuwadhibiti. Chakufanya ni…
Panya ni wanyama wadogo jamii ya mammalia walio katika familia/kundi linalotambulika kitaalamu kama Muridae wenye meno mawili ya mbele kwa kila taya…
Je Mboji ni nini? Mboji ni aina ya mbolea ya asili yenye rangi nyeusi na harufu nzuri ya kidongo ambayo hutokana na…
Je ulishawahi kutumia mbolea ya mboji? Jibu laweza kuwa ndio. Lakini Je unajua jinsi ya kuandaa au kutengeneza mbolea ya mboji?
Unahitaji zaidi ya makala?